blog

Kwara Govt Reacts To Viral Video Showing Gov. Abdulrazaq Being Booed At An Event

published on
The Kwara State government has reacted to a viral video showing Governor Abdulrahman Abdulrazaq getting booed at a public event. As seen in the video that went viral, Gov Abdulrazq was almost mobbed but security operatives quickly surrounded him and took him out of the event. This is as the crowd continued to shout ‘ole’ in Yoruba language, which simply means ‘thief’. Some others also shouted ‘Sai Bukky’, which is a popular political chant in the North Central state, used in praising the former Senate President, Bukola Saraki, who was once a governor in the state. Read More...

Muranga: Mshukiwa wa Ujambazi Ateketezwa Akiwa Amejificha Msalani

published on
Mshukiwa wa ujambazi, Joseph Karanja, mnamo Jumatano, Septemba 9 usiku aliteketezwa moto hadi kufa huko Gatanga, kaunti ya Muranga, ripoti ya kutoka DCI ilisema. Jamaa huyo mwenye umri wa miaka 30 aliripotiwa kufanya uhalifu huo Jumanne usiku kabla ya kujificha wakati wakazi wenye hasira walianza kumtafuta. "Kulipopambazuka wakazi waliokuwa na hasira walianza kumtafuta mtuhumiwa, wakiwa na matumaini kwamba watamkamata na kumaliza visa vya wizi ambavyo vimekithiri eneo ndogo la Kiganjo, katika eneo kubwa la Gatanga eneo,” ripoti ya polisi ilidokeza. Read More...